JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2023

Dkt. Slaa aunga mkono uwekezaji ,aishauri Serikari kurekebisha dosari mkataba wa DP World

Balozi Willibrod Slaa ameunga mkono uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es Salaam, lakini ameishauri Serikali kurekebisha kasoro zinazolalamikiwa kwenye mkataba wa uwekezaji na kampuni ya DP World ya Dubai. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Slaa…

Biteko asisitiza kukamilika jengo la madini wa wakati Dodoma

Mkandarasi wa Jengo Jipya la Wizara ya Madini Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ametakiwa kuongeza kasi ili kukamilisha jengo hilo kwa wakati. Rai hiyo, imetolewa leo Juni 13, 2023 na Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko wakati wa ukaguzi…

Kunenge azindua zahanati kwenye kituo cha yatima kinachoendeshwa na Anna Mkapa

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Kibaha  Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakari Kunenge amezindua Jengo la Zahanati kwenye Kituo cha watoto yatima Kibaha Children Village Center  kilichopo Mtaa wa Simbani Halmashauri ya Mji Kibaha. Kituo hicho kina Jumla ya watoto 16 ambapo…

Rais Samia afanya uteuzi mwingine

Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Miundombinu).  Mhandisi Mativila alikuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS). Amemteua Mhandisi Mohamed Besta kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS).  Mhandisi…

Muuguzi adaiwa kubaka mjamzito hospitalini Tabora, uchunguzi umekamilika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Jeshi ka Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia muuguzi wa hospitali ya Wilaya ya Sikonge kwa tuhuma za kubaka mama mjamzito aliyekuwa amelazwa hospitalini hapo. Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Richard…