Month: June 2023
Serikali yaendeleza mapambano dhidi ya magugu maji ziwa Victoria
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Serikali imesema itaendelea na juhudi za kupambana na magugu maji katika Ziwa Victoria ili kudhibiti uhabirifu wa mazingira na athari zitokanazo na uharibifu huo nchini. Hayo yalielezwa bungeni jana na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais…
Museveni apimwa na kukutwa tena na virusi vya Corona
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza Jumatano kuwa amepima na kupatikana tena na virusi vya Covid-19. Rais wa Uganda Yoweri Museveni apatikana tena kuwa na virusi vya Corona Rais huyo mwenye umri wa miaka 78 alitengwa baada ya kupimwa na…
Simbachawane alitaka e-GA kuimarisha kituo chake cha utafiti kuongeza ubunifu wa TEHAMA
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene, ameiaka Mamlaka ya Serikali mtandao (e-GA) kuimarisha Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Serikali Mtandao (eGovRIDC) ili kutengeneza…
Rais Samia: Vitega uchumi kama hivi vitaongeza tija kwa NSSF
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema miradi ya vitega uchumi inayofanywa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) itaongeza tija kwenye Mfuko. Amesema hayo Juni 14, 2023 wakati alipotembelea mradi wa ujenzi…
Madaktari Uingereza waanza mgomo wa siku 3
Madaktari wadogo nchini Uingereza wameanza mgomo wakionya kuwa kutakuwa na “athari kubwa katika utoaji huduma kwa wagonjwa”. Mgomo huo wa siku tatu (3) umekuja huku kukiwa na tishio la migomo zaidi katika kipindi chote cha kiangazi iwapo serikali haitasusia ofa…
Wananchi kupatiwa matibabu ya dharura hospitali ya Nyang’hwale
Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita imekamilisha ujenzi wa jengo la dharura (EMD) liliojengwa kwa ufadhili wa mgodi wa Barrick Bulyanhulu kwa Sh milioni 69 lengo kuwapa wananchi huduma ya dharura kwa ukaribu. Hayo yalisemwa jana na…