Month: June 2023
Muhimbili, Namibia kushirikiana kujenga uwezo wa utoaji huduma za kibingwa
Hospitali ya Taifa Muhimbili imeahidi kushirikiana na nchi ya Namibia katika kujenga uwezo wa utoaji huduma za kibingwa na bobezi kwa wataalamu wa afya nchini humo. Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Mohamed Janabi…
Chongolo afunguka sakata la bandari
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amefunguka kuhusu upanuzi na uendelezaji wa huduma za bandari Tanzania ambapo amesema mradi huo una manufaa kwa maendeleo ya Taifa huku akisisitiza nchi inapaswa kusimama imara katika masuala ya msingi. Amesisitiza…
Miradi 293 yasajiliwa na kuongeza uwekezaji nchini
Serikali imesema kuwa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kwa mwaka 2022 kimesajili miradi 293 ikilinganishwa na 256 iliyosajiliwa mwaka 2021, sawa na ongezeko la asilimia 14.5. Hayo yamebainishwa leo Juni 16, 2023 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu…
Serikali yaeleza sababu zilizosababisha mfumuko wa bei nchini
Serikali imesema kuwa kuna mambo matatu yaliyosababisha mfumuko wa beo na kupanda kwa gharama za bidhaa zinazoagizwa nje ya nchi. Hayo yamebainishhwa leo Juni 15, 2023 na Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba,wakati akiwasilisha bungeni hali ya uchumi…