JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2023

RC Tabora atoa siku saba kampuni ya tumbaku kulipa wakulima bil.20/-

Serikali mkoani Tabora imeiagiza kampuni ya Voedsel inayojihusisha na ununuzi wa zao la tumbaku mkoani hapa kulipata deni la wakulima kiasi cha sh bil 20 ndani ya siku 7. Agizo hilo limetolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi…

Rais Samia apokea gawio la bil.45.4/- kutoka NMB

Baadhi ya viongozi wa serikali, wafanyakazi wa Benki ya NMB, viongozi wa dini pamoja wateja wa Benki ya NMB wakiwa katika katika hafla ya kuadhimisha miaka 25 ya  Mafanikio ya Benki ya NMB iliyofanyika leo tarehe 17/6/2023 katika Ukumbi wa…

Chongolo: Tukichezea vyanzo vya maji, tunachezea uhai wetu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amesema viongozi wa ngazi mbalimbali wakiwemo wakuu wa Wilaya, wenye viti wa Serikali za mitaa na watendaji wa vijiji kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika kutunza vyanzo vya maji na uhifadhi wa mazingira….

TANROADS yaweka historia, yasaini mikataba saba ya trillion 3.7/-

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Serikaki kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS)imesaini Mikataba saba ya ujenzi wa barabara itakayo tekelezwa kwa miaka minne yenye thamani ya shilingi Trillion 3.7 yenye urefu wa kilometa 2035 kwa kiwango cha lami. Mikataba hiyo imehusisha…

Polisi Arusha wakamata ng’ombe 319 walioibiwa

Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo nchini limesema kuwa katika kipindi cha mwezi juni mwaka huu limefanikiwa kukamata mifugo 319 iliyokuwa imeibiwa maeneo mbalimbali hapa nchini. Akitoa taarifa…