JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2023

Baobab Queens kuwa timu ya wanawake ya Azam FC

Uongozi wa Azam FC umeingia makubaliano na timu ya mpira wa miguu ya wanawake kutoka Dodoma, Baobab Queens na rasmi itakua ni timu ya wanawake ya Azam FC. Azam wamefikia makubaliano hayo ili kutekeleza agizo la kikanuni la leseni za…

Watu 100 wamekufa nchini India kutokana na joto kali

KARIBU watu 100 wamekufa nchini India katika siku za karibuni kutokana na joto kali lililolikumba taifa hilo. Watu hao wamekufa katika majimbo mawili yenye idadi kubwa zaidi ya watu ya Uttah Pradesh lililoko magharibi mwa nchini hiyo na Bihar, lililopo…

Ruvuma ilivyofanikiwa kutoa chanjo kwa zaidi ya asilimia 10

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Mkoa wa Ruvuma umefanikiwa kutoa chanjo mbalimbali ikiwemo chanjo kwa Watoto chini ya miaka mitano kwa asilimia zaidi ya 100 hadi kufikia Juni 2023. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezitaja chanjo hizo …

Taifa Stars yafufua matumaini AFCON 2023

Na Eleuteri Mangi, WUSM Dar es Salaam Timu ya soka ya Tanzania Taifa Stars imeicharaza timu ya Niger goli 1-0 na kufufua matumaini ya kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2023 nchini Ivory Coast. Saimon Msuva mfungaji wa…

Tanzanite yaibuka ushindi wa vikapu 69-34 dhidi ya timu ya Taifa ya Eritrea

Na Brown Jonas Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma ameshuhudia Timu ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (Tanzanite) ikiibuka na ushindi wa vikapu 69-34 vya Timu ya Taifa ya Eritrea. Mchezo huo wa ufunguzi wa kufuzu mashindano…

Polisi: Marufuku kuandamana Jumatatu

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limeyapiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Jumatatu 19,2023 kwenda Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam huku likiwataka Wananchi kutoshiriki maandamano hayo. Akiongea Dar es Salaam , Kamanda wa Polisi Kanda Maalum…