JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2023

BoT: Shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusiwa kutumika nchini

Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuukumbusha umma kwamba Serikali ilishatoa  Tamko kuhusu katazo la matumizi ya fedha za kigeni kwa wakaazi wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania katika kulipia bidhaa na huduma nchini. Tamko la kwanza  lilitolewa mwezi Agosti 2007…

Jaji Maghimbi: Mrundikano wa mashauri Dar kuwa historia

Na Mary Gwera, JamhuriMedia,Mahakama Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, Salma Maghimbi amepongeza ushirikiano wa watumishi wa Kanda hiyo uliowezesha kupunguza mlundikano wa mashauri kutoka mashauri 595 Desemba, 2022 kufikia mashauri 162 tarehe 15 Juni,…

Wajumbe CWT waiomba Serikali kuingilia kati mgogoro ndani ya chama hicho

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma. Waliokuwa wajumbe 18 wa Kamati tendaji ya Chama cha Walimu nchini CWT ambao wameenguliwa kwenye nafasi hizo wamemuomba Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro ambao unaendelea ndani ya chama…

RC Kunenge aagiza Halmashauri Rufiji kuandaa mipango kwa kuzingatia vipaombele

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ,kuandaa mipango na bajeti kwa kuzingatia vipaombele vinavyolenga kuwandolea wananchi kero na kuwainua kimaendeleo. Maagizo hayo ameyatoa kwenye kikao maalum cha baraza…

Waaswa kusimamia ugawaji rasilimali za taifa kwa kufuata vigezo vya kitakwimu

Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Songea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaasa viongozi na watendaji katika ngazi zote za kiutawala kusimamia vema maendeleo kwa kugawa rasilimali za taifa kwa kufuata vigezo vya kitakwimu na sio upendeleo. Kanali Thomas ametoa…