Month: June 2023
Kundo: Serikali kutoa mafunzo kwa wataalam wa TEHAMA zaidi ya 500
Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Arusha Katika mwaka wa fedha 2023/2024, serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Hbari inatarajia kutoa mafunzo kwa wataalam zaidi ya 500 wa TEHAMA katika nyanja mbalimbali za TEHAMA. Utekelezaji wa majukumu hayo unaiwezesha…
Waajiri watakiwa kuwasilisha taarifa za wastaafu mapema kuwaondolea usumbufu
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma.. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi,ameagiza waajiri wote wanawasilisha taarifa za kustaafu kwa mtumishi wake Katika kipindi cha miezi sita kabla ya kustaafu ili kuwapunguzia mateso ya…
ACT-Wazalendo yavuna wanachma wa CHADEMA
Waliokuwa wagombea udiwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Kata za Rugongwe, Mukabuye na Nyaruyoba kwenye Uchaguzi Mkuu 2020 wamejiunga ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Chama Ndugu Ado Shaibu kwenye Mkutano Mkuu wa Jimbo la…
Rostam: Mjadala kuhusu bandari ya Dar es Salaam na DP World unaendeshwa kishabiki
Viongozi mbalimbali nchini wakiwemo wanasiasa, viongozi wa dini wameitaka serikali kuwa na mijadala ya wazi hasa mijadala inayohusu tunu na mageuzi ya kisasa yanayokuza uchumi wa Taifa. Hayo yamebainishwa Juni 19,2023 jijini Dar es Salaam wakati wa mjadala wa kitaifa…
MSD yaanza rasmi zoezi la kuhesabu mali
Bohari ya Dawa (MSD) imeanza rasmi zoezi la kuhesabu mali kwa mujibu wa sheria. Zoezi hili la kuhesabu mali linategemewa kukamilika mwishoni mwa mwezi Juni 2023 ili kuanza mwaka mpya wa fedha. Katika kipindi hiki maghala yote ya MSD Makao…
Waziri Mabula awatuliza wapangaji Kariakoo
Na Munir Shemweta, JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewatuliza wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Kariakoo na kuwataka kufuata sheria na mikataba waliyoingia na shirika hilo. Dk. Mabula amekuatana na…