JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2023

Wamteka mtoto na kutaka walipwe mil.50/- Katavi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Katavi Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa tuhuma za kumteka mtoto mdogo wa (9) mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya Msingi Mizengo Pinda katika Manispaa ya Mpanda na kisha kumfungia…

Tanzania kufungua rasmi ofisi za ubalozi Indonesia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amewasili Jakarta nchini Indonesia kwa ajili ya ziara ya kikazi, ikiwa ni pamoja na kufungua rasmi Ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini…

Serikali kuangalia upya ajira za walimu

……………………….. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) , Prof. Adolf Mkenda (mb) amesema kuwa suala la kuangalia upya ajira za walimu ni maboresho ya Sera za Kitaifa toka kwa wadau ili kudhibiti ubora wa sekta ya elimu nchini, leo…

Majaliwa:Hatutadharau maoni, ushauri kuhusu uwekezaji bandari

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Pia, Mheshimiwa Majaliwa amewataka Watanzania waendelee kuwa na imani na Serikali pamoja na…

Shirika la STEMM lafanikisha kambi ya huduma ya afya bure Singida

Kwa kuwagusa wananchi wa maeneo ya vijijini Tanzania, Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ameonyesha njia na kuongoza kwa vitendo mapambano dhidi ya adui maradhi katika nchi yetu. Baada ya kufanyika kambi ya huduma za afya kijijini Pohama kwa siku tano ambapo…

JK awapongeza Ali Kiba,Mbwana Samatta, awapa ushauri

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amewapongeza mwanasoka wa kulipwa wa kimataifa Mbwana Samatta na mwanamuziki nyota Ali Kiba kwa kuanzisha na kuendesha taasisi isiyo ya kiserikali ya SAMAKIBA Foundation ambayo kila mwaka imekuwa…