Month: June 2023
Tanzania yafungua rasmi ubalozi wake jijini Jakarta, Indonesia
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Ubalozi huo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amesema kufunguliwa kwa Ubalozi huo kutaziwezesha Serikali ya Tanzania na Serikali ya Indonesia kukuza na kuimarisha uhusiano…
‘Fichua wakwepa kodi,upate asilimia tatu’
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia ,Arusha Ili kuhakikisha kodi ya Serikali inatozwa pasipokuacha mianya ya ukwepaji, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), imekuja na sheria ya kutoa kamisheni ya asilimia tatu kwa mtu atakayefanikisha kupatikana kwa kodi iliyokwepwa. Akizungumza kwenye semina ya…
KOFIH yadhamiria kupunguza vifo vya uzazi na watoto wachanga Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani Halmashauri tisa ,mkoani Pwani zinatarajia kunufaika na awamu ya pili ya mradi unaofadhiliwa na Korea Foundation For Health Care (KOFIH ),mradi ambao unaolenga kupunguza vifo vya uzazi kwa mama na mtoto mchanga. Mradi huu unatarajia kutekelezwa…
RC Mara ataka Halmashauri Tarime Vijijini kutumia pesa za mapato ya ndani kumalizia viporo vya miradi
Na Helena Magabe , JamhuriMedia, Tarime Mkuu wa Mkoa wa Mara Said Mtanda ameishauri Halmashauri ya Tarime vijijini kutumia mapato ya ndani kumalizia miradi viporo ili ikamilike na kutumika. Hayo ameyasema hayo Juni 21,2023 katika kikao cha Baraza la Madiwani…
Jaji Mahakama ya Afrika asisitiza usawa kijinsia
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia,Arusha Tafiti mbalimbali zilizofanywa nchini zimethibitisha kuwa sekta ya habari kwa kipindi kirefu imekuwa ikiongozwa na wanaume zaidi na pia maudhui ya vyombo hivyo bado hayajazingatia vya kutosha sauti za wasio na sauti ambao ni wanawake na…