JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

Tembo Nickel kuanza uzalishaji 2026

Asteria Muhozya na Steven Nyamiti , JamhuriMedia, Dodoma Imeelezwa kuwa, Kampuni ya Tembo Nickel Corporation Ltd, inatarajia kuanza uzalishaji wa Madini ya Nikeli ifikapo mwaka 2026. Hayo yamebainishwa na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Tembo Nickel Benedict Busunzu katika Semina…

Baraza la vyama vya siasa kufanya mkutano Agosti mwaka huu

Na Mussa Augustine, JamhuriMedia Baraza la Vyama vya Siasa nchini limeazimia kufanya mkutano mkubwa wa Baraza la Vyama Vya Siasa utakaoshirikisha wadau mbalimbali wa siasa kwa ajili ya kujadili taarifa ya Kikosi kazi ambacho kiliundwa na Rais wa Jamhuri ya…

Rais Samia awataka watunza kumbukumbu kutunza siri, kuwa na nidhamu

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Makatibu Muhsusi na Watunza kumbukumbu kuwa na nidhamu, uadilifu na kutunza siriĀ  kwani ndio chachu ya maendeleo. Amesema wanapaswa kuzingatia weledi wa taaluma zao kwa kushirikiana katika utekelezaji wa majukumu yao kwa kuzingatia miongozo na…

Mmarekani ahukumiwa miaka 20 jela kwa kusafirisha dawa za kulevya

Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imemuhukumu Lione Lionel Rayford raia wa Marekani kifungo cha miaka 20 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kiasi cha kilo 2.188. Hukumu hiyo…

Spika Dkt. Tulia atoa wito kwa nchi za SADC kuendeleza ushirikiano

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amezitaka nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zishirikiane kutumia rasilimali zilizopo kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wa Jumuiya hiyo. Dkt. Tulia ameyasema hayo wakati…