JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

Yanga yashindwa kufurukuta mbele ya USM Alger

Klabu ya Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wao USM Alger ya nchini Algeria baada ya kuokea kichapo cha mabao 2-1 kwenye mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. Licha Yanga kuutawala mchezo katika kipindi…

Majaliwa: Tutauenzi mchango wa wakili Nimrod Mkono

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa uliotolewa na aliyewahi kuwa Mbunge wa Butiama mkoani Mara, Marehemu Wakili Nimroad Mkono na kwamba itaendelea kumuenzi kwa kazi nzuri alizofanya. “Serikali imepoteza mtu muhimu, itaendelea kutambua mchango alioutoa…

Chongolo: Watanzania wanamnyima usingizi Rais Samia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amesema matamanio ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni kuona changamoto za wananchi kwenye maeneo yao zinatatuliwa na kuleta matokeo chanya kama ilivyokusudiwa. Chongolo ametoa kauli…