Month: May 2023
Okash awakalia kooni walawiti na wabakaji, atoa onyo kali.
Na Mwamvua Mwinyi,JAMHURI MEDIA Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo ,Halima Okash ,ametoa onyo kali kwa wabakaji na walawiti na kusisitiza zuio la dhamana kwa watuhumiwa hao hasa ambao wamekuwa wakijitamba wanaporejea uraiani baada ya kupata dhamana. Aidha ameeleza,atakayekutwa na hatia…
CCM Bagamoyo yamtaka DC Okash kusimamia kero ya tembo Kiwangwa
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Chama Cha Mapinduzi CCM, Bagamoyo mkoani Pwani, kimemtaka Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Halima Okash kusimamia utatuzi wa kero ya uwepo wa tembo katika kata ya Kiwangwa ambao unadaiwa kuharibu mashamba ya wakulima. Ombi hilo…
Watoto 11,000 huzaliwa na seli mundu kila mwaka nchini
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amezindua huduma za upandikizaji uloto Katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH)huku akieleza kuwa Serikali imewekeza shilingi bilioni 2.7 kwenye huduma hiyo kwa lengo la kuwasaidia…
Tume ya Haki za binadamu kuchunguza upya utata wa kifo cha Mwanafunzi wa UDOM.
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Kufuatia taharuki inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kuhusu kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) Nusura Hassan Abdalla,Tume ya haki za binadamu na utawala bora imeazimia kufanya uchunguzi …