JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

TTCL, UCSAF kusogeza huduma za mawasiliano vijijini

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Mhandisi Peter Ulanga amesema Serikali kupitia Shirika hilo inatarajia kujenga minara 54 kwenye Kata 104 na vijiji huku wakiendelea kutoa huduma hiyo kwa Kata 130 na kueleza…

TAWA wafanikiwa kumuua fisi aliyeua watu wawili Lindi

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanikiwa kumuua fisi aliyeua watu wawili na kujeruhi watano (5) katika Wilaya ya Lindi Vijijini mkoani Lindi. Kamanda wa Uhifadhi wa Kanda ya Kusini Mashariki, Abraham S. Jullu amesema mnamo tarehe 11 Mei,…

Mwenge wa Uhuru wasisitiza utunzaji vyanzo vya maji bonde la Wami Ruvu

Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 umesisitiza kuimarishwa kwa usimamizi katika utekelezaji wa sheria kulinda maeneo ya hifadhi za vyanzo vya maji, ikielezwa kwamba athari za mabadiliko ya tabia nchi zimekuwa zikionekana maeneo mengi zaidi nchini. Hayo yameelezwa ikiwa ni mwendelezo…

Kalinaki, Balile wachaguliwa kuongoza wahariri Afrika Mashariki

Jumuiya ya Wahariri Afrika Mashariki imemchagua Daniel Kalinaki wa Jukwaa la Wahariri Uganda kuwa Rais wa Jumuiya ya Wahariri Afrika Mashariki kuanzia Mei 12, 2023, ambapo ataongoza kwa mwaka mmoja. Deodatus Balile, ambaye ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania…

Serikali kugharamia mazishi ya wanafunzi waliokufa Bahi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rose Senyamule amepiga marufuku magari ya mizigo kutumika kubeba abiria katika mkoa huu ili kunguza ajali zinazosababisha vifo ambavyo vinaweza kuzuilika. Hatua hiyo ni kufuatia ajali iliyoua wanafunzi wawili jana Mei…