JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

Dkt.Ndungulile ataka jiji la Dar kupewa kipaumbele

Na Dotto Kwilasa, JamhiriMedia, Dodoma. Serikali imetia saini mkataba wa Mradi Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam(DMDP) awamu ya pili na wakandarasi watatu wenye thamani ya shilingi Bilioni 800 huku ikiahidi kusimamia mradi huo ili kama kuna dosari zilizojitokeza wakati…

Serikali kuwabaini wanaochanganya bangi kwenye vyakula

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imebaini uchanganyaji wa bangi yenye kiasi kikubwa cha kilevi katika vyakula vikiwemo biskuti, asali, juisi, majani ya chai na keki na kueleza kuwa itawachukulia hatua wote watakaobainika. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,…

ATE yazindua mchakato wa tuzo ya mwajiri bora wa mwaka 2023

Tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka imeendelea kuwa tukio muhimu linalotambulika katika ngazi ya kitaifa ambapo kwa miaka kadhaa sasa tuzo hizi zimehamasisha Waajiri kuweka sera bora za ajira na usimamizi wa rasilimali watu. Pia tuzo hizi zimeweza kuchochea na…

Mkutano wa IORA kuchochea uchumi wa buluu

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax amesema kuwa mwezi Novemba 2022, Wizara yake iliratibu na kushiriki katika Mkutano wa 22 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya…