JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

Le Mutuz’ afariki

Mmiliki wa ‘Le Mutuz’ Blog, William Malecela, maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msanii Steve Nyerere Taarifa zaidi zitakujia hivi punde

Madaktari bingwa wa moyo JKCI watia fora Malawi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Madaktari bingwa wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wamefanikiwa kuwapatia matibabu ya kibingwa wagonjwa zaidi ya 724 wa moyo nchini Malawi walikoweka kambi ya siku tano. Matibabu hayo yamefanikiwa chini ya uratibu wa Kamati…

Yanga bingwa Ligi Kuu Tanzania Bara

Klabu ya Yanga SC imeweka rekodi ikitwaa ubingwa wa 29 Ligi Kuu Tanzania bara Msimu wa 2022/23 baada ya kupata ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Dodoma jiji mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex jijini la Dar es Salaam. Mabao…

Wafugaji wanaotorosha mifugo nje ya nchi waonywa

Na Mwandishi Wetu -Jeshi la Polisi Wafugaji wanaotorosha mifugo yao kwenda nje ya nchi bila kufuata utaratibu uliowekwa na Serikali wametakiwa kuacha vitendo hivyo kwani hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia Wizi wa mifugo nchini…