JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

Rais Mwinyi azindua mradi wa kuwajengea uwezo vijana

.       . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya uzinduzi wa  Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu  (SEBEP)   katika Ukumbi…

Mabula: Nataka madalali wenye weledi na staa

Na Munir Shemweta, WANMM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula ameitaka Kamati ya Uteuzi na Nidhamu ya Madalali na Wasambaza Nyaraka wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kuhakikisha madalali wanaoteuliwa wanapata mafunzo na wenye…

Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, ashindwa rufa yake

Mahakama ya Rufaa nchini Ufaransa, imeshikilia kifungo cha miaka mitatu jela, dhidi ya rais wa zamani Nicolas Sarkozy kwa kosa la ufisadi na kushawishi kupewa taarifa kuhusu uchunguzi dhidi yake.  Katika uamuzi wa mahakama hiyo ya rufa jijini Paris, kiongozi…

Serikali: Hakuna changamoto mpya za Muungano

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema kuwa hadi sasa hakuna changamoto mpya za Muungano zilizojitokeza.  Amesema hayo leo Mei 17, 2023 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti…

Chalamila afanya ziara ya kushtukiza kwa wafanyabiashara Mwenge

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amefanya ziara ya kustukiza katika soko la Mwenge ili kujionea hali halisi ya kinachozungumzwa na kulalamikiwa na wafanyabiashara. Ziara ni ya kwanza baada ya kuhamishwa kituo cha kazi na Rais Dkt.Samia…