JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

‘Tuache kuwanyanyapaa waraibu dawa za kulevya kwa kuwaita mateja’

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Rai imetolewa kwa jamii kuacha kuwanyanyapaa waraibu wa madawa ya kulevya, kwa kuwaita mateja,na badala yake wasaidiwe kupata ushauri ili waache tabia hizo. Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa mwaka huu Abdallah Shaib,alitoa rai hiyo…

TAKUKURU Ruvuma yabaini mapungufu miradi mitano ya maendeleo

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma imebaini mapungufu katika utekelezaji wa miradi mitano ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 5.5. Akitoa taarifa ya utendaji kazi wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma katika kipindi…

Rais Samia ateua majaji sita,wamo wanawake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan, amewateua Majaji sita wa Mahakama ya Rufaa kati yao wawili ni wanawake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Mei 18, 2023 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus, amesema…

Rais Samia awaita wafanyabiashara EAC

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato Rais Samia Suluhu Hassan amewaarika wafanyabiashara wa nchi wanachama wa Afrika Mashariki (EAC) kutumia bandari ya Nyamirembe Chato mkoani Geita kusafirisha mizigo yao kwa gharama nafuu na kwa haraka zaidi. Mbali na hilo,Mamlaka ya Usimamizi…