JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

Mpango mkakati wa mazingira mbioni kukamilika

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano Na Mazingira) Khamis Hamza Khamis amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha Mpango Mkakati wa kutoa Elimu kwa Umma wa miaka mitano (2022/23-2026/27) kuhusu mazingira….

Fisi wanaovamia makazi ya watu kusakwa Karatu

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mary Masanja amewaelekeza Askari wa Uhifadhi Kanda ya Kaskazini kuanza zoezi la kusaka fisi wanaovamia makazi ya watu katika Halmashauri ya Wilaya ya Karatu. Ameyasema hayo leo Bungeni jijini Dodoma…

Huduma za kibingwa za magonjwa ya moyo Kisarawe suluhisho la matibabu Kisarawe

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Abdallah Shaib,amezindua huduma za kibingwa za moyo katika hospital ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani. Akizungumza baada ya kuzindua mradi huo wakati Mwenge wa Uhuru ulipopita kujionea wilaya ilivyosimamia…

CBE yaanza ujenzi wa maabara ya kimataifa kufundisha kwa vitendo

Na Mwandishi Wetu CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka wazazi nchini kuwahamasisha watoto wao kuchangamkia mafunzo ya sayansi ya vipimo na viwango kwani soko la ajira liko wazi kwa nchi za Afrika Mashariki. Hayo yamesemwa jana chuoni hapo na…