JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

Tanzania yaandika historia mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Mei 20, 2023 ameandika historia mpya ya Tanzania kwa kuzindua Majengo mapya ya Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma akishuhudiwa na mamia ya Watanzania pamoja na wageni mbalimbali kutoka…

Kanisa la TAG lauza nyumba ya muumini kwa kushindwa kulipa riba

Na Andrew Chale, Dar es Salaam Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), kupitia taasisi yake ya mikopo ya Uwezo Financial Service Limited (UFSL) limedaiwa kuuza nyumba ya muumini wake kwa kushindwa kulipa riba iliyopanda bila kuzingatia sheria mamlaka za…

Bunge lapitisha kwa kishindo bajeti ya Wizara ya Habari

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha Bilioni 215.25 ikiwa ni Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa Mwaka wa Fedha 2023/24.. Aidha Wizara…

Rais Mstaafu Kikwete aongoza harambee ya GGML KILL Challenge

Na Mwandishi Wetu Jumla ya Dola za Marekani 700,000 (sawa na Sh bilioni 1.6) zimepatikana katika uzinduzi wa harambee ya kampeni ya GGML Kili Challenge iliyoongozwa na Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete kwa lengo la kukusanya Sh bilioni 2.3 fedha…

Watendaji sekta ya afya wanaokwamisha maono ya rais hawatafumbiwa macho

Na Mwanfishi Wetu. JamhuriMedia, Mwanza Serikali Kanda ya Ziwa imesema haitawafumbia macho watendaji wa sekta ya afya wanaokwamisha jitihada za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika maboresho sekta ya afya. Akizungumza leo Mei 19, 2023 katika kikao kazi cha watendaji…