JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

NHC, ZHC kuondoa changamoto za makazi bora

……,……………………………… Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angellina Mabula amesema kuwa uwepo wa makubaliano ya mashirikiano baina ya Shirika la Nyumba la taifa (NHC) na lile la Zanzibar (ZHC)  utasaidia kuondoa changamoto mbalimbali…

TAWA yabainisha jitiada za Serikali kupunguza changamoto ya wanyamapori wakali

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema kufuatia changamoto ya Wanyamapori Wakali na Waharibifu inayokabili Wilaya ya Mvomero, Serikali imechukua hatua mbalimbali mahsusi katika kuhakikisha inapunguza changamoto hiyo kwa wananchi. Hayo yamesemwa Mei 19, 2023 Wilayani Mvomero na Mhifadhi…

Shaib: Watanzania wenye uwezo wa kifedha wekezeni na kujenga viwanda

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwaka 2023 ,Abdallah Shaib ametoa rai kwa Watanzania wenye uwezo wa kifedha, kutumia fursa ya kuwekeza na kujenga viwanda ili kuongeza ajira na kuinua uchumi na pato…

Serikali kuunganisha wilaya zote na mikoa kwa lami

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema katika kuhakikisha uchumi jumuishi unafikiwa kwa watanzania wengi Serikali imedhamiria kuziunganisha wilaya zote nchini na makao makuu ya mikoa kwa barabara za lami. Amesema hayo mjini Haydom wakati akishuhudia utiaji saini wa…

Chuo cha Bandari Dar chajiwekea mikakati

Chuo cha Bandari Dar es Salaam kimejiwekea mkakati wa kujenga chuo kikuu kingine kikubwa kitakachohudumia nchi zote zinazozunguka kusini mwa Afrika ifikapo mwaka 2024. Aidha mikakati mingine ni  kuhakikisha wanaendelea  kuandaa wataalamu  katika sekta ya mafuta na gesi kwani chuo…

Majaliwa: Nishati safi ya kupikia ni kipaumbele cha Serikaki

Teresia Mhagama na Zuena Msuya ya WaziriI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa, suala la upatikanaji wa nishati safi ya kupikia ni moja ya vipaumbele vya nchi na kwamba Serikali inahakikisha kuwa uandaaji wa Dira na Mpango Mkakati wa matumizi ya…