JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

Serikali yazindua rasmi mfumo wa kidigitali kusajili Diaspora wenye asili ya Tanzania

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imezindua rasmi mfumo wa kuwasajili Diaspora wenye asili ya Tanzania Kidigitali (Diaspora Digital Hub). Akizindua rasmi mfumo huo Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Mashariki, Mhe. Dkt Stergomena…

Shaib: Rais Samia anafanyakazi kubwa kutanua wigo sekta ya uwekezaji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mkuranga Kiwanda cha Sapphire Float Glass (Tanzania) Company Limited, kilichopo Mkiu wilaya ya Mkuranga, Mkoani Pwani kinatarajia kuanza uzalishaji mwezi Septemba mwaka huu na kugharimu USD 311 sawa na fedha za kitanzania sh.bilioni 700. Aidha kinatarajia…

Serikali kujenga mizani mipya kudhibiti uharibifu wa barabara

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)  ipo katika hatua mbalimbali za kujenga mizani mpya katika mtandao wa barabara kuu nchini ili kudhibiti uharibifu wa barabara unaosababishwa na uzidishaji uzito wa…

Ujenzi daraja Wami wakamilika, JPM wafikia asilimia 72

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Serikali imesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022/23, miradi ya barabara kuu iliyopangwa kutekelezwa ni ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara zenye urefu wa kilometa 470 pamoja na ukarabati kwa kiwango cha lami wa…

Sakata la kifo cha watoto mapacha Kaliua, watumishi wanne kufikishwa kortini

Watumishi wanne wa Kituo cha Afya Kaliua, wilayani Kaliua Mkoani hapa wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha watoto mapacha waliofariki katika mazingira ya kutatanisha baada ya kuzaliwa. Mkuu wa Mkoa huo Balozi Dkt.Batilda Burian ameeleza kuwa…

Serikali kujenga kituo maalum cha matibabu ya magonjwa ya mlipuko

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga hekali 90 kwa ajili ya ujenzi wa kituo maalumu cha magonjwa ya mlipuko (isolation center) ikiwemo ugonjwa wa Marburg katika Mkoa wa Kagera kutokana na mwingiliano na wananchi kutoka…