JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

Rais Samia kuongeza jopo lingine la Majaji wa Mahakama wa Rufaa ili yafikie 10

Na Tiganya Vincent , JamhuriMedia, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kuongeza jopo jingine la Majaji wa Mahakama ya Rufaa ili kuendelea kupunguza mrundikano wa mashauri mashauri. Ametoa kauli hiyo leo tarehe 23…

Askari TANAPA atuhumiwa kuua,wananchi wazua vurugu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Vuruguru kubwa zimeibuka katika kijjji cha Jangwani,Mto wa Mbu Wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kusababisha mtu mmoja kufariki kwa kudaiwa kupigwa risasi na askari wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na wengine…

Dkt.Mollel : Wezi wa dawa kuchukuliwa hatua

Na WAF- Bungeni, Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameweka wazi kuwa, Serikali imepanga kuchukua hatua kali kwa wote wataobainika kwenye upotevu wa dawa ili iwe funzo wengine wenye nia ovu ambayo inawanyima wananchi haki yao ya msingi…

NMB yaahidi kutoa bidhaa zinazokidhi mahitaji wanadiaspora

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Benki ya NMB imeahidi kutoa bidhaa zinazokidhi mahitaji ya wanadiaspora ilikuwawezesha kushiriki kikamilifu katika shughuli za ujenzi wa Taifa. Hayo yalisemwa na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Benki ya NMB Filbert Mponzi wakati akihudhuria…

Serikali yatenga bajeti bil.15.77/- kwa TMA kwa mwaka wa fedha 2023/24

Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi katika mwaka wa fedha 2023/24 imetenga Shilingi bilioni 15.77 kwa ajili ya Bajeti ya matumizi ya kawaida ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Fedha hizo, Shilingi…