JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

Rais Dkt. Mwinyi akutana na Waziri wa Nishati wa kwenye ziara nchini Qatar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi  akiwa katika siku ya mwisho ya ziara yake ya Qatar akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.  Dk. Samia Suluhu Hassan, mapema leo asubuhi alikutana…

Serikali kuongeza soko la nyama nje

Katika kukuza soko la nyama hapa nchini Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imesema inadhamira ya kufanya kampeni ya kuchanja mifugo kwa kufuata kalenda ili kuongeza soko la nyama nje ya nchi kutoka tani 12 ya sasa hadi tani…

Rais Samia afanya mabadiliko Ma-RC,DC, wengine atengua

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya baadhi ya wakuu wa mikoa, uteuzi wa Mkuu wa Mkoa, uhamisho wa Wakuu wa Mikoa na uteuzi wa Mkuu wa Wilaya. Kwa mujibu wa taarifa Mkurugenzi wa…

Serikali imedhamiria kuongeza muda kutathmini ya hali ya vyombo vya habari nchini

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Habari Mawasiliano na teknolojia ya Habari,imeridhia kuiongezea muda wa miezi sita Kamati ya Tathmini ya hali ya uchumi kwa Vyombo vya Habari na Wanahabari nchini ili iweze kufanya kazi yake kwa…