JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

Benki ya Maendeleo TIB yaunga mkono juhudi za uzalishaji umeme

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Benki ya Maendeleo ya TIB imeunga mkono juhudi za uzalishaji wa nishati nchini kwa kutoa mkopo wa kiasi cha Dola za Kimarekani 400,000 kwa kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) Investment Ltd inayotekeleza ujenzi wa Mradi wa…

Gwajima: Wazee turejeshe mifumo ya asili yenye kuchochea maadili mema

Na WMJJWM, Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amelitaka Baraza la Ushauri la Wazee kuzingatia malengo ya Baraza hilo ambalo ni kujadili masuala mbalimbali yanayowahusu na kuweka mikakati ya kutatua changamoto zinazo…

Soko la mabilioni kuchochea uchumi Tarime

Na Immaculate Makilika- MAELEZO Mkurugenzi Mtendaji wa Mji Tarime, Gimbana Ntavyo anasema kuwa ujenzi wa soko la kisasa unaoendelea mkoani Mara katika halmashauri yake utasaidia kuchochea biashara katika Mji wa Tarime pamoja na kutoa fursa ya kufanya biashara na nchi…

Waziri Mabula aipongeza Wizara ya Habari kwa kubuni NAPA

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula, ameipongeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kubuni mfumo wa NAPA (National Physical Addressing System) ambao umewezesha kupatikana kwa taarifa zinazotumika…

Afrika yashauriwa kujenga mfumo imara wa ugavi wa kilimo

Wajumbe katika mkutano  wa Uongozi wa Bara la Afrika wamezitaka nchi za Afrika kujenga mfumo imara wa ugavi wa thamani kwa kilimo kwa sababu sekta hiyo inatoa fursa bora ya kuongezeka kwa biashara ndani ya Afrika. Viongozi na washiriki wengine…

Kifo cha mwanamuziki nguli wa Kimarekeni Tina Turner chawaliza wengi

Mwanamziki nguli wa Kimarekani, Tina Turner aliyeutumbuiza ulimwengu kwa miongo mingi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 83.nyumbani kwake Zurich Switzerland. Turner ambaye alifahamika kama Malkia wa muziki wa Rock and Roll, alifariki jana nyumbani kwake karibu na mji…