JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2023

Meya Dodoma azitaka Kamati za urasimishaji kutokuwa miungu watu

Na Magreth Lyimo,WANMM Kamati za urasimishaji zimeelekezwa kutokuwa miungu watu na badala yake zimetakiwa kusimamia na kuwa kiunganishi kati ya wananchi na wataalamu wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) watakaoenda kutekeleza zoezi la urasimishaji katika Jiji…

Askari wa akiba wa Urusi hawana silaha wapigana kwa koleo

Askari wa akiba wa Urusi huenda wanatumia “makoleo” kwa mapigano ya “mkono kwa mkono” nchini Ukraine kutokana na uhaba wa risasi, Wizara ya Ulinzi ya Uingereza inasema. Mwishoni mwa Februari, askari wa akiba walielezea kuwa waliamriwa kushambulia Ukraine “wakiwa na…

DC Namtumbo aonya watendaji wasio waaminifu

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Namtumbo Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Malenya Ngolo amesema kuwa usimamizi mbovu wa vyanzo vya mapato kutoka kwa baadhi ya madiwani pamoja na wataalam,umesababisha baadhi ya watendaji wa halmashauri hiyo kuhujumu mapato jambo ambalo limesababisha kutoendelea kwa miradi…

Jela maisha kwa kumlawiti mtoto wake wa miaka minne

Na Steven Augustino,JamhuriMedia,Tunduru Mahakama ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imemhukumu mkazi wa kijiji cha Namiungo,Mohamed Saudi Ngwelekwe (25) kutumikia adhabu ya kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumlawiti mtoto wake mwenye umri wa…