JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2023

WCF yatoa msaada kwa watoto wanaofanyiwa upasuaji JKCI

Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, wafanyakazi wanawake kutoka Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) wametoa mahitaji mbalimbali kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya moyo kwenye Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam Machi 6, 2023. Wanawake hao…

Fei Toto awasilisha ombi TFF kuvunja mkataba

Mchezaji wa Yanga Feisal Salum Abdallah ‘Fei toto’ amewasili katika ofisi za shirikisho la mpira wa miguu Tanzania ‘TFF’ karume, jijini Dar es salaam mapema ya leo kuwasilisha maombi ya kulitaka shirikisho hilo kuuvunja mkataba wake na waajiri wake Yanga…

Ndunguru:Uwekezaji sekta ya madini umekua kwa kasi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Katibu Mkuu Mpya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Adolf Ndunguru amesema Uwekezaji katika Sekta ya Madini umekua kwa kasi ikiwemo kuongezeka kwa mapato ya Serikali yanayotokana na shughuli za madini nchini….

Mchezaji wa Mtibwa Sugar afariki kwa mshtuko

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media. Beki wa Mtibwa Sugar, Iddy Moby Mfaume amefariki dunia jana jioni Machi 05, 2023 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Ofisa Habari wa klabu hiyo, Thobias Kifaru amethibithisha kutokea kifo cha mchezaji huyo ambapo…

Simba SC yajipanga kumkabili Vipers nyumbani

Na Mwandishi wetu, Jamhuri Media, Dar es Salaam. Ikiwa ni muendelezo wa mashindano ya klabu bingwa Afrika, Simba Sc wataingia dimbani kuwakabiri Klabu ya Vipers kutoka Uganda kesho Machi,7 2023 katika dimba la Benjamin  mkapa jijini Dar es salaam saa moja…