JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2023

VIPERS YAENDELEZA UTEJA KWA SIMBA SC

Na Tatu Saadi, JAMHURI Washiriki pekee wa ligi ya klabu bingwa Afrika kutoka Tanzania  Simba Sc, wameendelea kutembeza kipigo kwa Vipers kwa kuwafunga tena Leo katika uwanja wa mkapa jijini Dar es salaam. Simba Sc wameibuka kidedea kwa ushindi wa bao…

Nape:Tuna pengo kubwa kidijitali kati ya wanawake na wanaume

Na Wilson Malima, Jamhuri Media. Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amesema, licha ya kuongezeka kwa matumizi ya TEHAMA  duniani, ushiriki wa Wanawake na Wasichana bado upo Chini hasa katika nchi zinazoendelea. Amesema, nchini  Tanzania…

Aliyekuwa beki wa Mtibwa Sugar Iddy Mobby azikwa leo Shinyanga

Na Tatu Saad, Jamhuri Media Mwili wa aliyekuwa beki wa mtibwa Sugar Iddy Mobby umezikwa leo katika makaburi ya mshikamano, Ngokolo mjini Shinyanga. Mwili huo umehifadhiwa katika nyumba yake ya milele baada ya kufanyiwa ibada katika msikiti wa Madrasatu Aqswa…

Simba yafikia makubaliano kumuuza Opah Clament

Na Tatu Saad, Jamhuri Medi. Uongozi wa klabu ya Simba Sc umefikia makubaliano ya kumuuza nahodha wa timu hiyo kwa upande wa wanawake ‘Simba Queens’, Opah Clement kwenda kuitumikia Besiktas,nchini Uturuki Mchezaji huyo ameshaondoka nchini tayari na kutimkia Uturuki kwajili…

Yanga kuminyana na Bamako kesho kwa Mkapa

Na Tatu Saad Jamhuri Media Klabu ya Yanga inatarajia kuingia dimbani kukabiliana na klabu ya Real Bamako ya huko Mali katika mchezo wao wa marudiano wa Kundi D wanaloshiriki katika kombe la shirikisho Afrika. Yanga wataminyana na Real Bamako kesho…