JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2023

Nabi afunguka kilichomtoa Aziz Ki

Na Tatu Saad Dakika 45 za kipindi cha kwanza ndizo dakika pekee zilizomtosha Stephan Azizi Ki katika mchezo wa jana wa  kombe la shirikisho barani Afrika, Yanga dhidi ya Real  Bamako ya Mali, baada ya kocha mkuu wa Klabu ya…

Tanzania Prisons yatuma salamu kwa Namungo

Na Tatu Saad, JAMHURI Baada ya kupokea kipigo cha mabao 4-1 kutoka kwa Yanga Sc katika hatua ya 16 bora wa kombe la shirikisho Azam ‘ASFC’ Tanzania Prisons wamesema wapo tayari kuwakabili Namungo Fc. Akizungumza kocha mkuu wa Tanzania Prisons…

Yanga yazidi kung’ara kwa Mkapa

Na Tatu Saad, Jamhuri Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania ambao ni washiriki pekee wa kombe la shirikisho barani Afrika Yanga Sc, wamewaburuza Real Bamako ya Mali mabao 2-0, katika Dimba la Benjamin Mkapa. Yanga wameendeleza ubabe katika dimba…

Rais Samia:Tuungane kumkomboa mwanamke wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA) kutumia nguvu ya Chama chao kuungana na kila chama cha siasa kumkomboa mwanamke wa Tanzania.Rais Samia amesema hayo wakati akihutubia…

Ibenga aitaka huduma ya Inonga

Na Tatu Saad, JAMHURI Kocha mkuu wa Klabu ya Al hilal ya nchini Sudan, Florent Ibenge ameanza kuwashawishi viongozi wa klabu hiyo kufanya mchakato wa kupata saini ya Beki muhimu wa klabu ya Simba Sc, Henock Inonga raia wa Congo….