JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2023

Rais Samia atoa bil.145.7/- kujenga mradi mkubwa wa maji Songea

Serikali inatarajia kuanza kutekeleza ujenzi wa mradi wa maji wa miji 28 katika mji wa Songea mkoani Ruvuma unaogharimu shilingi bilioni 145.7. Hayo yamesemwa Machi 10,2023 na Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso ambaye amewakilishwa na Naibu Waziri wa Maji…

Miaka mitatu jela kwa kusafirisha dawa za kulevya

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Mahakama ya hakimu Mkazi kisutu imewahukumu kifungo Cha miaka mitatu jela wakazi wa Ilala Daresalaam Habibu Ibrahim Habibu (24) na Salumu mashtaka duchi baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya…

Mtibwa na vita ya kisasi kwa Simba

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Wana Manungu kutoka mkoani Morogoro, ‘Mtibwa Sugar’ wameeleza kuzitaka alama tatu muhimu kwa kulipa kisasi, katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Simba Sc, mchezo utakaopigwa Jumamosi ya Machi 11 mwaka huu katika uwanja wa Manungu…

Mfumuko wa bei za bidhaa washuka nchini

Na Wilson Malima, JAMHURI MEDIA Mfumuko wa bei za bidhaa na huduma chini Tanzania umepungua hadi kufikia asilimia 4.8 kwa mwaka ulioishia Februari 2023 tofauti na ilivyokuwa asilimia 4.9 kwa mwaka ulioshia Januari 2023. Mfumuko wa bei wa taifa hupima…