JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2023

Simba yamvulia kofia Rais Samia, yamuahidi makubwa dhidi ya Horoya

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Wakati timu ya Simba ikiibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani Morogoro, uongozi wa klabu hiyo umesema ni jambo zuri kuwa na Rais wa nchi anayependa michezo kiasi cha…

Mume aua mke na kumzika chumbani

Na Benny Kingson,JamhuriMedia,Tabora Salma Hamis Maulid (34), mkazi wa Mtaa wa Mbirani, kata ya Kidongo-Chekundu katika Halmashauri ya Manispaa Tabora ameuawa na mume wake na kisha kuzikwa chumbani. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani hapa Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)…

Baleke aibeba Simba, yaichapa Mtibwa 3-0

Mshambuliaji Mkongo, Jean Baleke amefunga mabao yote matatu leo Simba SC ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Manungu Complex, Turiani mjini Morogoro. Baleke aliyesajiliwa dirisha dogo…

CHAUMMA: Tunawaomba wadau,wanachama kukichangia chama ili kufanikisha mikutano yake

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimewaomba wadau na wanachama wa chama hicho kukichangia chama ili kufanikisha mikutano yake ya hadhara ambayo inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu wa 2023. Tamko hilo limetolewa leo Machi 11, 2023 jijini…

Naibu Waziri wa Maji awataka wananchi kutunza vyanzo vya maji Songea

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea Naibu Waziri wa maji mhandisi Maryprisca Mahundi amewataka wakazi wa manispaa ya Songea na vitongoji vyake kuona umuhimu wa kutunza mazingira kwenye vyanzo vya maji ili miradi ya maji inayotekelezwa na serikali iweze kuwa endelevu pamoja na…