JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2023

Yanga yaweka mikakati dhidi ya US Monastir

Na Tatu Saad,JAMHURIMedia Uongozi wa Klabu ya Yanga umeweka hadharani mipango na mikakati waliyonayo kuelekea mchezo wao wa raundi ya tano wa kimataifa dhidi ya US Monastir. Katika mchezo huo ambao unatarajiwa kuchezwa Machi 19, mwaka huu, Yanga watakuwa wenyeji…

NMB yashinda tuzo bora Tanzania 2023, Mkurugenzi aibuka mkurugenzi bora

Benki ya NMB imeandika historia nyingine baada ya kutwaa Tuzo ya Benki Bora Tanzania kwa mwaka 2023 wakati wa mkutano wa Africa Bank 4.0 Summit uliofanyika jijini Nairobi, nchini Kenya kutokana na jitihada ma utendaji kazi wa benki hiyo katika…

Rais Mwinyi aweka mikakati ya kumaliza tatizo la ajira

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameweka mikakati ya kumaliza tatizo la ajira kwa vijana na wananchi kwa ujumla huko Zanzibar. Rais amekuwa akiwapa vipaumbele vijana na wananchi wake katika…

Safari ya Dkt.Samia na mapinduzi makubwa kwenye sekta ya elimu Kibaha Mji

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriKMedia,Kibaha Ni takribani siku 730 zinazobeba Miezi 24 sawa na saa 17,520 ,sawa na miaka miwili ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kazini baada ya kifo cha Hayat Dkt.John Magufuli kututoka, na kuacha majonzi kwa Taifa ,kumpoteza Rais akiwa…

Khamis:Rais Mwinyi amevuka malengo ya Ilani ya CCM

Tangu kuingia madarakani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi,tayari miradi 223 imesainiwa na kuvuka lengo la Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hayo yamebainishwa leo Machi 13,2023 na Katibu wa Kamati Maalumu ya…