JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2023

Rais afanya uteuzi wa Makatibu Tawala

Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi kwa kuwateua Makatibu Tawala wa Mikoa huku Makatibu Tawala wengine wakihamishwa vituo vya kazi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Machi 16,2023 kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Mkurugenzi…

Dkt.Bazilio: Msisafishe masikio kwa pamba, hujisafisha yenyewe

Na Catherine Sungura,JamhuriMedia,Tabora Wananchi wameshauriwa kutoingiza maji kwenye masikio wakati wa kuoga pia kutosafisha masikio yao kwa kutumia pamba za masikio kwani kwa kawaida sikio hujisafisha lenyewe. Hayo yamebainishwa na Daktari Bingwa wa Pua,Koo na Masikio, Dkt. Jane Bazilio kutoka…

Ibaada ya kumuaga Costa Titch yaahirishwa

Na Mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA Ibada ya kumbukumbu ya Mwanamziki Constantinos Tsobanoglou maarufu “Costa Titch” aliyefariki jukwaani, iliyotarajiwa kufanyika Alhamisi Machi 16, 2023 imeahirishwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na familia ya mwanamuziki huyo imeelezwa kuwa, kuchelewa huko kumetokana na…

Serikali yaunga mkono wasambazaji nishati safi ya kupikia

Na Zuena Msuya, Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema kuwa, Serikali inaendelea kuunga mkono juhudi za Sekta Binafsi katika kuhakikisha watanzania wote wanatumia nishati safi ya kupikia ili kutimiza azma ya Serikali ya…

NMB yaanzisha huduma ya mikopo nafuu ya elimu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Benki ya NMB imesema imetenga kiasi cha sh. bilioni 200 kwa ajili ya kuwakopesha wafanyakazi wanaotaka kupata elimu ya juu au wale wanaohitaji fedha za kuwasomesha wategemezi wao. Bidhaa hiyo mpya ya mikopo nafuu inayoleta ahueni kubwa…