JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2023

Rais Samia awataka wanawake kupaza sauti na kukemea changamoto zinazowakabili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wanawake kupaza sauti kwa pamoja na kukemea changamoto zinazowakabili wanawake wa Tanzania katika nyanja mbalimbali bila kujali itikadi zao. Rais Samia ametoa wito huo jana wakati akihutubia katika…

Serikali yaandika historia nyingine Rufiji

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani imeandika historia mpya, ,baada ya Serikali kupitia Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) kuingia mkataba na Kampuni ya China Railways Seventh Group Limited kutekeleza ujenzi wa barabara ya Utete -Nyamwage km.33.7 . Aidha…

Monastir: Hatutumii nguvu kuikabili Yanga leo

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Baada ya ushindi mnono wa mabao 7-0 walioupata Simba Sc dhidi ya Horoya ya Guinea katika mchezo wa mzunguko wa tano wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika,leo Yanga Sc wanakutana na US Monastir ya…

Trump asema anatarajia kukamatwa siku ya Jumanne

RAIS wa zamani wa Marekani Donald Trump anasema anatarajia kukamatwa Jumanne katika kesi kuhusu madai ya pesa inayosemekana ililipwa kwa nyota wa zamani wa ponografia. Trump ametoa wito kwa wafuasi wake kupinga hatua hiyo katika chapisho kwenye jukwaa la mtandao…

Madereva wa malori wachapwa viboko na kuporwa fedha Njombe

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Njombe Malori kadhaa yaliyokuwa yakitoka vijijini kubeba mizigo mbalimbali katika maeneo ya Luponde Halmashauri ya Mji wa Njombe yametekwa na watu wasiofahamika na kuwachapa viboko madereva ili kuwashinikiza kutoa fedha. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi…