JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2023

Serikali yadhamiria kuachana na matumizi ya kuni,mkaa

Waziri wa Nishati,January Makamba ameeleza kuwa, Juni mwaka huu utafanyika uzinduzi wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya kuhamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia na Mpango Mkakati wa utekelezaji wa Dira hiyo ambayo itaainisha masuala mbalimbali ikiwemo hatua…

Watano wafariki kwa virusi vya Marburg Kagera

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Watu watano wamefariki kwa ugonjwa ujulikanao kwa jina la Marburg mkoani Kagera huku watatu wakiendelea kupatiwa matibabu katika vituo maalum vilivyojengwaBukoba Vijijini mkoani Kagera. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema uchunguzi uliofanywa na maabara ya Taifa ya…

Kamwe:Hatuna hofu kukutana na timu yoyote robo fainali

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Uongozi wa Yanga Sc umesema upo tayari kuona kikosi chao kikipangwa na timu yoyote katika hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika. Afisa Habari wa klabu ya Yanga ‘Ali Kamwe amesema kwa ubora…

ACT-Wazalendo wataka kutungwa sheria ya kilimo

Na Allan Vicent,JamhuriMedia,Tabora Chama cha ACT-Wazalendo kimeshauri Serikali kutunga sheria ya kilimo na kuweka utaratibu wa kodi kama ilivyo katika sekta ya madini ili kuleta tija na ufanisi ikiwemo kuhimiza kilimo cha umwagiliaji. Ushauri huo umetolewa na kiongozi wa chama…

Simba Queens kunyukana na Yanga Princess kesho

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Wababe wa Soka la Bongo kwa upande wa Wanawake Simba Queens na Yanga Princess kesho Jumatano (Machi 22) wataingia dimbani kupapatuana katika mchezo wa ligi kuu ya wanawake Tanzania. Katika mchezo huo Yanga Princess watakua…