JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2023

Mayele ‘hatarudi tena’ Tanzania baada ya AFCON

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Baada ya kuondoka jijini Dar es Salaam jumatatu ya Machi 20 mwaka huu mshambuliaji wa klabu ya Yanga Fiston Mayele amesema hatarudi tena Tanzania baada ya kumaliza mchezo wao wa kufuzu AFCON dhidi ya Mauritania….

Robertinho atazamia kuifikisha Simba hatua ya fainali

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Kocha mkuu wa wekundu wa msimbazi Simba SC  Robert Oliviera ‘Robertinho’ amesema kwasasa anataka kucheza hatua ya robo fainali ya michuano Klabu Bingwa  Barani  Afrika. Robertinho ameyasema hayo baada ya kufumua hatua ya robo fainali ya…

Usajiri wa Msonda unavyowapa kiburi Yanga

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Usajili wa mshambuliaji kutoka nchini Zambia Kennedy Musonda wakati wa dirisha dogo umewapa kiburi cha tambo viongozi wa klabu ya Yanga. Afisa habari wa klabu hiyo Ally Kamwe amesema uongozi wa klabu hiyo haukukurupuka kumsajili mshambuliaji…

EAC kuja na mkakati udhibiti taka za kielektroniki

Nchi wanachama wa Nchi za Afrika Mashariki zimekubaliana kuja na mkakati wa miaka mitano ya kupunguza taka za kieleketroniki na kuendelea kutoa elimu kwa wananchi wa nchi hizo ya namna bora ya kukabiliana na taka hizo ikiwemo kuteketeza na kuzitupa…

RC Tabora aagiza wakurugenzi kusimamia ununuzi wa dawa

Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri Mkoani Tabora wameagizwa kusimamia kikamilifu mfumo wa Ugavi wa bidhaa za afya ikiwemo ukaguzi wa mara kwa mara katika vituo vya kutolea huduma kwa ajili ya kupunguza changamoto zinazotokana na Usimamizi mbovu. Kauli hiyo imetolewa leo…

Mpango akutana na uongozi TBL

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni hiyo Leonard Mususa, Mazungumzo yaliofanyika katika Ukumbi wa Benki…