JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2023

Dkt.Mpango ataka barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu kukamilika kwa wakati

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu yenye urefu wa kilometa 260.6 unakamilika kwa wakati na ufanisi uliokusudiiwa. Amesema hayo Wilayani Kasulu alipokutana…

Tanzania yapeleka misaada ya wahanga wa kimbunga Fredy Malawi

Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulika na Operesheni pamoja na Uratibu wa shughuli za Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Luteni Kanali Selestine Masalamado ameongoza ujumbe wa kutoka Nchini Tanzania kupeleka misaada ya unga, mahindi, mablanketi, mahema na dawa…

Balozi Uholanzi ampongeza Rais Samia kufungua milango kwa vyombo vya habari

Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Wiebe de Boer amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua ya kufungua milango kwa vyombo vya habari na kutakiwa kufanyakazi bila woga. Balozi Boer ametoa kauli hiyo alipokutana na viongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania…

Ripoti:Kulikuwa na uzembe wa marubani ajali ya ndege ya Precision

Ripoti ya pili ya ajali ya Ndege ya Precision Air iliyotokea tarehe 6 Novemba ,mwaka 2022 katika Ziwa Victoria, Bukoba, Mkoa wa Kagera na kusababisha vifo vya watu 19 na wengine 24 kuokolewa imeseka kuwa kulikuwa na uzembe wa marubani….

Mchengerwa: Tumejipanga kuitangza Tanzania kimatifa

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed Mchengerwa (Mb) amesema Wizara yake imejipanga kuitangaza Tanzania duniani kwa kutumia mikakati mbalimbali ikiwa ni pamoja na timu za mpira wa miguu za kimataifa ili kuvuka lengo la idadi ya watalii milioni…

TFF yaipiga ‘stop’ Ndondo Cup,yawataka wanaoanzisha mashindano kuwa na kibali

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania limetoa tamko kwa wanaohitaji kuanzisha mashindano yoyote ya mpira wa miguu. Kupitia ukurasa wake wa Mitandao ya kijamii TFF wametoa taarifa inayosema wao ndio wenye mamlaka ya kutoa kibali…