JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2023

TARURA yaanza kufungua milango kwa wakulima Tunduru

Na Muhidin Amri,JamhuriMedia,Tunduru Wakala wa barabara za mijini na vijijini Tanzania(TARURA),Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, imeanza kufungua barabara mpya zinazounganisha vijiji vya pembezoni na mji wa Tunduru ili kuwawezesha wananchi kusafiri na wakulima kusafirisha mazao yao kwa urahisi kutoka shambani…

Watanzania waonyeshwa fursa PhD za bei nafuu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMeida Watanzania wameshauriwa kuchangamkia Shahada za Uzamivu (PhD), zinazotolewa na vyuo vya nje kwa bei rahisi ili kuongeza idadi ya wataalamu na wahadhiri wa vyuo vikuu nchini. Hayo yamesemwa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa…

Rais Samia afanya uteuzi, amhamisha Mchechu NHC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya serikali leo Februari 24, 2023 Amemteua Nehemia Kyando Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa…

Urusi yatengwa na Umoja wa Mataifa

Umoja wa Mataifa umeitenga Urusi siku ya Alhamisi, wakati wa kuadhimisha mwaka mmoja tangu Urusi ilipoivamia Ukraine huku ikitoa wito wa kuwepo kwa “amani na haki ya kudumu” na kuitaka tena Urusi kuondoa wanajeshi wake na kuacha mapigano. Siku moja…

Aliyewahi mwenyekiti klabu ya soka Simba Masanja afariki gerezani

Aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Simba nchini na Katibu Mkuu Msaidia Marco Masanja amefariki nchini China akiwa kifungoni. Marehemu ambaye alikuwa kiongozi katika miaka kadhaa huko nyuma, alifariki dunia tarehe 10 Februari mwaka huu. Kwa mujibu…