JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2023

Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo

Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo Februari 25,2023

CBE yazindua klabu ya ujasiriamali sekondari ya Temeke Wailes

Na Mwandishi Wetu Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kimezindua klabu ya ujasiriamali kwa shule ya sekondari Temeke Wailes iliyoko Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. Uzinduzi wa klabu hiyo ulifanyika jana Ijumaa kwenye shule hiyo.Chuo hicho kimesema vilabu…

Tanzania na Dubai zakubaliana kuondoa tatizo la uhaba wa mbolea nchini

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Dubai Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Kilimo imetia saini Mkataba wa Makubaliano (MOU) na Ofisi ya Mwanafamilia ya Kifalme ya Dubai Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, ili kutoa usambazaji wa kimkakati na uhifadhi wa…

JKCI yatoa onyo waliotoa taarifa ya uongo

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kutoa ufafanuzi wa Habari iliyosambaa katika mitandaoni ya kijamii kuwa “Huduma ya PaceMaker haipo Muhimbili, Wagonjwa wanakufa” taarifa hiyo siyo ya kweli na ipuuzwe, kwani hakuna mgonjwa aliyekufa kutokana na tatizo la kutokuwekewa…