JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2023

Polisi Pwani wamdaka aliyeua na kutoroka akutwa na shortgun

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani katika misako iliyofanya kwa kipindi cha mwezi mmoja wamefanikiwa kumkamata mtu mmoja( miaka 53) mwanaume, mkulima mkazi wa kijiji cha Ruvu stesheni,ambae anadaiwa kufanya mauaji, wilayani Kisarawe kisha kutorokea katika kijiji…

Mufti atengua uteuzi wa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam

Baraza la Ulamaa katlika kikao chake ilichofanyika tarehe O1 na 2 Februari jjini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir bin Ally LIMETENGUA uteuzi wa Sheikh Alhad Mussa Salum kama Sheikh…

Ahukumiwa jela maisha kwa kosa la ulawiti

Kijana wa miaka (19) Juma Mussa Mkazi wa mtaa wa  Uzunguni  kata ya Malolo katika Manispaa ya Tabora amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka mitano (5) . Akitoa hujumu hiyo Hakimu…

Majaliwa: Serikali itaendelea kusimamia weledi kwa watumishi wa umma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia weledi, kanuni na taratibu zilizowekwa kwenye kila sekta ya utumishi wa umma. Aidha, pale patakapojitokeza uvunjifu wa maadili na miiko iliyowekwa, hatua…

Papa Francis akutana na wahanga wa vita vya Kongo

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani,Papa Francis ameelezea masikitiko yake na kuwapa pole wahanga wa ghasia za kikatili katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Masikitiko hayo aliyatoa jana jioni wakati alipokutana na wahanga wa vita na machafuko ya kisiasa kutoka mashariki…