Month: February 2023
Breaking News: Watu 17 wafariki, 14 ni wa familia moja
Watu 17, ambapo 14 ni wa familia moja, wamefariki dunia na wengine 12 wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Magira Gereza, Tarafa ya Mombo wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Mwenyekiti wa Kamati ya…
Shigela:Nendeni mkatekeleze majukumu yenu kwa kufuata Sheria
Wakuu wa Wilaya ya Magu na Ukerewe wameapishwa leo kufuatia uteuzi uliofaywa na Rais wa Jamuhri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani Januari 25,2023. Uapisho huo umefanyika leo Feburuari 3,2023 kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Akizungumza…
Serikali yataja mambo sita ya kuondoa tatizo la ajira nchini
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,Patrobas Katambi, ametaja mambo sita yanayofanywa na serikali ili kuondokana na tatizo la ajira nchini. Katambi ameyasema hayo leo Februari 3, 2023 bungeni alipokuwa akijibu swali…
Chongolo ayataka mabaraza ya madiwani kuacha kulumbana
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameyataka mabaraza ya madiwani nchini kufanya kazi za kujadili maslahi ya wananchi na sio kulumbana kwa maslahi yao binafsi. Chongolo amesema hayo jana wakati akizungumza na wanachama wa CCM katika Kijiji…
NMB yafadhili mafunzo ya bodaboda yatakayofanyika nchini Rwanda
Benki ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) na waendesha bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, wanaoondoka nchini Jumatatu Februari 6,kwenda Kigali, Rwanda. NMB imekabidhi tiketi 12 za…