JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2023

Mtwara wafurahia kunufaika na mradi wa kupaza sauti za baioanwai ya WWF

Aziza Nangwa,JamhuriMedia, Mtwara Wananchi na wadau kutoka asasi mbalimbali nchini wamefurahia elimu ya kupaza sauti juu ya baioanwai ya Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori (WWF) kuwanufaisha kimaisha kwa kubadili mitanzamo yao Jamhuri imeelezwa. Mmoja wa wananchi…

Utafiti: Vifo vya watoto chini ya miaka mitano vyapungua

Na WAF – Dodoma Tafiti zinaonesha kuwa kiwango cha vifo vya watoto chini ya miaka mitano kwa Mwaka 2022 kimefika vifo 43 kwa kila watoto 1,000 waliozaliwa hai ukilinganisha na vifo 67 kwa kila Watoto 1,000 waliozaliwa hai ilivyokuwa kwenye…

Makusanyo kodi ya ardhi yaongezeka kufikia bil.33.9/-

Na Munir Shemweta,WANMM Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi Bilioni 90.9 katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Disemba 2022 kama kodi ya pango la ardhi sawa na asilimia 75 ya lengo la makusanyo…

Mil.710.7/- zatumika kuboresha Pori la Akiba Pande

Serikali imetumia kiasi cha shilingi milioni 710.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya utalii ya Pori la Akiba Pande ili kuhakikisha kuwa pori hilo linaendelea kuwa kitovu cha utalii katika jiji la Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Maliasili…

Barabara Kigamboni kujengwa kwa lami

Serikali imesema itaendelea kuboresha miundombinu ya barabara za Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam kwa kuzijenga kwa kiwango cha lami kama ilivyopangwa. Akijibu swali Bungeni leo lililoulizwa na Mbunge wa Kigamboni Dakta, Faustine Ndugulile aliyetaka kujua ni lini Serikali…

Waziri Mkuu mgeni rasmi uzinduzi wa nyaraka za usimamizi wa maafa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Nyaraka za Usimamizi wa Maafa nchini unaotarajia kufanyika Februari 9,2023. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri…