JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2023

Tetemeko la ardhi Tanga mtaalamu aeleza haya

Tetemeko la ardhi linalokadiriwa kuwa na ukubwa wa 4.8 katika kiwango cha Richter limeripotiwa kutokea mkoani Tanga. Tetemeko hilo lililotokea takribani kilomita 33 kutoka usawa wa kisiwa cha Pemba jana Februari 08, 2023 lilipiga katika maeneo ya fukwe za Kayumbu…

Majaliwa:Serikali iko makini na inafuatilia miradi yote

…………………………………………………….. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan iko makini na itaendelea kufuatilia miradi yote inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini ili kudhibiti matumizi mabaya ya mali ya umma. Pia Majaliwa…

Breaking News:Abiria 12 wafariki,50 kwenye ajali ya basi la Frester

Watu 12 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester Iililokuwa likitoka Bukoba kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori lenye shehena ya saruji lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea…

Ajifungua chini kifusi na kufariki,kichanga chakutwa hai Syria

Mtoto mchanga anayekadiriwa wa siku moja, ameokolewa kwenye kifusi baada ya mama yake kufukiwa kwenye moja ya jingo lililoporomoka pamoja na wanafamilia wengine saba kutokana na tetemo la ardhi lililotokea juzi Jumatatu Uturuki na Syria na kusababisha vifo vya watu…