JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2023

Kukatika kwa umeme, kero ya maji vyawaibua madiwani Pwani

Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha Upungufu wa maji na kukatikakatika kwa Nishati ya Umeme ,imekuwa gumzo na kilio kwa Madiwani wa Kibaha Mjini katika baraza la madiwani ,na kudai ni kero ya muda mrefu iliyo na ukakasi kwenye ufumbuzi wake. Agustino Mdachi…

Timu ya Majimaji bado kioo cha Mkoa wa Ruvuma

Majimaji ni miongoni mwa timu maarufu za soka hapa nchini ambayo ina historia ndefu ukiachia timu za Simba na Yanga ambazo zimedumu kwa muda wote zikicheza ligi kuu bara na kuwa na wapenzi lukuki kila kona ya nchi yetu. Hakuna…

Majaliwa:Jiridhisheni na miradi ilingane na thamani ya fedha iliyotolewa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanya kazi kubwa ya kuhakikisha inatekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wananchi, hivyo ni jukumu la viongozi kuikagua na kujiridhisha kama utekelezaji wake unafanyika kwa viwango vilivyokusudiwa na unalingana na thamani…

Mvua kubwa ya mawe yaacha vilio Tabora

…………………………………………… Mvua kubwa ya upepo iliyoambatana na mawe imeharibu zaidi ya ekari 15 kati ya 75 za zao la Tumbaku zilizolimwa na kusababisha hasara kubwa kwa baadhi ya wakulima wa Chama cha Msingi cha Ushirika wa Wakulima wa Tumbaku Ngulu,…

Tanzania, Comoro kuanzisha Tume ya Kudumu ya Pamoja

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Comoro zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) wa kuanzisha Tume ya Kudumu ya Pamoja kati ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamesainiwa leo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…

Majaliwa:AMCOS Mbozi kuchunguzwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itafanya uchunguzi kwa vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS) wilayani mbozi mkoani Songwe na watakaobainika kuhusika na ubadhirifu wowote watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria. Mheshimiwa Majaliwa ametoa kauli hiyo baada ya Mbunge wa…