JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2023

Moto wateketeza bweni la wanafunzi sekondari ya Lugarawa Njombe

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Njombe Wanafunzi 82 wa shule ya sekondari Lugarawa wilayani Ludewa mkoani Njombe wamenusurika kuungua baada ya bweni lao kuteketea kwa moto na kuunguza mali za wanafunzi na za shule zenye thamani zaidi ya sh. milioni 18. Akizungumza…

Mkojo wa sungura wageuka almasi

Na Mwandishi Wetu Mkojo wa mnyama mdogo anayefahamika kwa jina la sungura umegeuka almasi kwa wakulima wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Hii ni kutokana na uwezo wa mkojo huo kuzuia na kudhibiti wadudu waharibifu katika mazao ya chakula…

Mwalimu mbaroni kwa kumjeruhi kwa fimbo mwanafunzi akimtuhumu kuiba maandazi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mbeya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwalimu wa shule ya Sekondari Loiler iliyopo Mji Mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya,Peter Emmanuel (29),kwa tuhuma za kumshambulia fimbo mwanafunzi kwa madai ya kuiba maandazi matano. Kamanda wa Polisi Mkoa…

Jamii yatakiwa kushirikiana na walimu ili kuboresha taaluma

Na OMM Rukwa Jamii imetakiwa kutoa ushirikiano kwa walimu ili kuleta ufanisi utakaochangia kuboresha taaluma ya wanafunzi wa madarasa ya awali na la kwanza kwenye shule za msingi za umma . Kauli mbalimbali zimetolewa jana na walimu wanaoshiriki mafunzo ya…

AAFP yaiangukia Serikali mfumuko wa bei

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Chama Cha Wakulima (AAFP), kimeishauri serikali kudhibiti usafirishaji wa chakula nje ya nchi ili kuzuia mfumuko wa bei na uhaba wa vyakula nchini. Rai hiyo imetolewa jiijini Dar es Salaam leo Februari 15,2023 na Mwenyekiti Taifa wa…