JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2023

CBE yatambia mitaala inayokwenda na wakati

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mpango wa kuwasaidia wanafunzi wajasiriamali kuendeleza biashara zao au kuatamia mawazo ya biashara zao utakuwa wa manufaa makubwa. Chuo kimesema lengo la kufanya hivyo ni kutatua tatizo kubwa la ajira…

Serikali imedhamiria kumaliza changamoto zote za elimu msingi

Naibu Waziri Ofisi ya Rais -TAMISEMI (Elimu),David Silinde amesema Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imadhamiria kwa dhati kuhakikisha inamaliza changamo zote za elimu Msingi nchini. Ameeleza hayo tarehe 19 Februri 2023 wakati wa…

Mkutano wa 43 wa kawaida wa Baraza la Mawaziri la EAC kufanyika Burundi

Mkutano wa Kawaida wa 43 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unatarajiwa kufanyika jijini Bujumbura, Burundi tarehe 23 Februari 2023. Mkutano huo ambao umeanza kwa Ngazi ya Wataalam tarehe19 hadi 20 Februari 2023 utafuatiwa na Mkutano…

TMA yatoa ufafanuzi kimbunga “Freddy’

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa za uwepo wa kimbunga ‘Freddy’ zinazosambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na kuzua taharuki kwa jamii. Kupitia sheria ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Na. 2 ya…

Wizara ya Maliasili yamuunga mkono rais, yatoa milioni 2 ushindi wa Yanga

Na John Mapepele,JamhuriMedia Wizara ya Maliasili na Utalii,imemuunga mkono Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.Dkt. Samia Suluhu Hassan kuipongeza Yanga katika ushindi wake wa leo dhidi ya TP Mazembe katika Kombe la Shirikisho. Katika mechi iliyochezwa katika Uwanja wa…