JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2023

Wanafunzi mbaroni kwa vitendo vya udhalilishaji kimtandao

Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema kuwa limefanikiwa kuwakamata wanafunzi wawili wa chuo cha Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru kwa tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia kwa mwanafunzi wa chuo hicho kwa njia ya mtandao na wanafunzi wenzake. Akitoa taarifa…

EWURA:JNHPP kuondoa changamoto za upungufu wa umeme

Na Mwandishi Wetu Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),imesema kukamilika kwa ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) linalojengwa Rufiji mkoani Pwani litaondoa changamoto za upungufu wa…

Halmashauri Kuu ya CCM Kibaha vijijini yamtwisha kibarua DC mpya

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Vijijini imeazimia kumpa kazi Mkuu mpya wa Wilaya ya Kibaha Nickson John kutatua tatizo la wakulima wa zao la korosho wa kata ya Kikongo ambao wanadai kutolipwa kiasi cha…

CRB yaonya makandarasi wanaoghushi nyaraka

Na Mwandishi Wetu Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), imewaonya makandarasi wenye tabia ya kughushi nyaraka ili waonekane wana vigezo vya kusajiliwa daraja la kwanza au la pilli ili wapate zabuni kubwa za ujenzi. Onyo hilo limetolewa mwishoni mwa wiki…

NECTA yatangaza matokeo kidato cha nne, angalia hapa

Baraza la Mitihani NECTA limesitisha utaratibu wa kutangaza shule 10 bora na mwanafunzi bora wa matokeo ya kidato cha nne kwakuwa utaratibu huo hauna tija. Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam Kaimu Katibu Mtendaji wa Necta, Athumani Amasi wakati…

Vituo vitatu vya mitihani vyafungiwa

Baraza la Mitihani (NECTA) limezinfungua shule/vituo vitatu vya mitihani vilivyodhibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mitihani ya kidato cha nne (CSEE) 2022. Hayo yamebainishwa Kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA, Athumani Amasi wakati akitangaza matokeo ya kidato cha nne, amesema kuwa…