JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2023

BoT yatoa tahadhari kuongezeka kwa udanganyifu wa fedha

Benki Kuu ya Tanzania (BoT),imebaini kuongezeka kwa udanganyifu wa fedha nchiniunaohusisha mwananchi kupokea taarifa(hati au barua pepe) inayodai kuwa ni uthibitisho wa malipo kupitia SWIFT na/au mifumo mingine ya uhamishajifedha. Mpokeaji anafahamishwa kuwa fedha zimeingizwa kwenye benki au akaunti katika…

Mlaki:Kiwango cha ufaulu elimu ya msingi Pwani kimeshuka

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Kiwango Cha ufaulu kwa mwaka 2022 kimeshuka Mkoani Pwani ,kwa asilimia 1.174 ukilinganisha na matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2021. Akizungumzia taarifa ya tathmini ya matokeo hayo, katika kikao kazi Cha kuboresha elimu…

Halotel Tanzania yakabidhi gari jipya la promosheni ya 7bang bang

Kampuni ya Mawasiliano nchini ya Halotel Tanzania PLC imekabidhi zawadi kwa mshindi mkuu aliyejishindia gari aina ya IST Mpya wa draw kubwa ya mwisho ya promosheni ya wateja iliyokuwa na jina la 7bang bang. Promosheni hiyo ya “7 bang bang”…

Rais ateua wajumbe wa Tume ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameteua Wajumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jaji Mohamed Othman Chande na Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu…

Serikali kufuatilia video ya mhudumu wa afya Tabora iliyosambaa mtandaoni

Kufuatia kusambaa kwa video fupi katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha mhudumu wa afya akijibizana na mwenzake, huku mmoja akipinga matumizi ya vifaa tiba vilivyokwisha muda wake wa matumizi. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa taarifa kuhusu video hiyo kuwa Timu…

Kesi ya aliyekuwa kigogo wa PSSSF na wenzake yazidi kurindima

Na Mwandishi wetu JAMHURI. Shahidi wa utetezi,Khalid Kilua katika kesi ya  wizi wa vitu vya dukani vyenye thamani ya Sh 68.4 milioni inayomkabili aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma(PSSSF),Rajabi Kinande na wenzake amedai kuwa alipewa taarifa…