JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2023

Serikali yabainisha vipaumbele vyake vya mwaka 2023

Na Mwandishi Wetu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanisha vipaumbele vyake vya mwaka 2023 kwa Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wanaoziwakilisha nchi zao nchini. Vipaombele hivyo vimeainishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…

Serikali yakanusha taarifa ya ndege zinazodaiwa kutua mbugani kusafirisha wanyamapori

Hivi karibuni kumekua na taarifa za uzushi na upotoshaji zinaendelea kutolewa kupitia mitandao ya kijamii na baadhi ya watu wenye nia ovu ili kuzua taharuki kuwa ndege zinazoruka na kutua katika maeneo ya hifadhi zinasafirisha wanyamapori na rasilimali nyingine zinazolindwa…

Rais Samia afungua Skuli ya Mwanakwerekwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya ustawi wa jamii kama elimu, maji na afya ili wananchi waweze kunufaika na huduma hizo. Rais Samia ameyasema hayo leo wakati…

Bei za vyakula kuanza kupungua mwezi Machi

Hatimaye Serikali imesema bei ya vyakula itashuka kuanzia Machi ili kuwarahisishia wananchi gharama za maisha. Hayo yamebainisha na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Januari 10, mkoani Dodoma. Bashe amesema kuwa Serikali…

Serikali yaagiza elimu ya kutosha kuhusu bima ya afya itolewe kwa wote

Na. WAF – Dodoma Serikali imeagiza kutolewa kwa elimu ya bima ya afya kwa wote kuelekea kipindi hiki cha kusomwa tena Bungeni kwa Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote. Hayo yameelezwa leo na Katibu Mkuu, Wizara ya Afya Prof….

Serikali yawahakikishia wawekezaji ulinzi na usalama

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amewahakikishia Wafanyabiashara na wawekezaji kuwa Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuweka mazingira Bora ya biashara pamoja na kutatua changamoto za Wafanyabiashara. RC Makalla amesema hayo wakati wa ufunguzi…