JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2023

Bodi ya Pamba yawapa kicheko wakulima Simiyu

Zaidi ya wakulima 1,500 kutoka Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, wamepatiwa pembejeo mbalimbali za kilimo kwa ajili ya zao la Pamba vikwemo vinyunyuzi dawa, pamoja na dawa sumu lengo likiwa kupamba na wadudu wanaoshambulia zao hilo wakiwemo funza. Pembejeo hizo…

Ushirikishwaji wa Watanzania waleta mabadiliko makubwa sekta ya madini

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa mabadiliko ya Sheria ya Madini mwaka 2017 na kanuni za ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya Madini yamepelekea mabadiliko makubwa katika Sekta ya Madini ikiwa ni pamoja na ongezeko…

Jatu yarejesha imani kwa wanahisa wake, yakaribisha mtaalamu kutoka Uholanzi

Ikiwa ni siku chache tu baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jatu PLC kufikishwa mahakamani kutokana natuhuma zinazomkabili za matumizi mabaya ya ofisi, uongozi wa kampuni hiyo kupitia kwa Kaimu MkurugenziMohamed Simbano, wamemtambulisha mtaalamu wa masuala ya fedha na…

Polisi Manyara waadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi kwa kufanya usafi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara na watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Babati wameungana na wananchi kufanya usafi katika kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Januari 12,2023. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara George Katabazi amesema wameamua kuungana…