JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2023

RC Ruvum:Natangaza vita endelevu na wanaokata miti

Na Albano Midelo,JamhuriMedia, Ruvuma Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema kuanzia sasa anatangaza vita endelevu na watu wote wanaokata miti kwenye misitu na wanaoharibu vyanzo vya maji.Ametangaza vita hiyo kwa nyakati tofauti wakati anazindua upandaji wa miti…

Mlandege bingwa wa Mapinduzi Cup 2023

……………………………………………….. Timu ya Mlandege imetwaa ubingwa huo baada ya kushinda magoli 2 dhidi ya 1 la Singida Big Stars, ikiwa timu hizo zote zimeingia fainali kwa mara ya kwanza. Makamu wa Pili wa Rais (SMZ) Mhe. Hemed Suleiman Abdullah, Waziri…

Benki ya Dunia yaridhishwa na TSC kutekelexa mradi wa BOOST

Benki ya Dunia ambayo ni mfadhili wa Mradi wa BOOST imeonesha kuridhishwa na namna Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) inavyotekeleza moja ya malengo ya mradi huo katika kuwasaidia walimu kuwa na mwenendo mwema unaozingatia miiko na maadili ya kazi…

Dugange amsimamisha kazi Kaimu Mhandisi wa Wilaya ya Bunda

Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) amemsimamisha kazi Kaimu Mhandisi wa Wilaya ya Bunda, Timothy Mwajara na amewata Mkurungenzi Bi. Changwa Mkwazo na Mganga mkuu wa Halmashauri hiyo Jamaly Kimamba kujitathimini utendaji kazi wao kwa…

Serikali kuendelea kujenga vituo vya utafiti wa madini nchini

Serikali imesema inaendelea kujenga vituo vya utafiti wa madini nchini (Ofisi za GST) kupitia Taasisi ya Jiologia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ili kutoa huduma za upimaji wa sampuli za miamba, mbale, tope, marudio, vimiminika na udongo ili kutambua…

Marekani kuwapa fursa vijana wa Kitanzania wenye vipaji

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul leo Januari 13, 2022 jijini Dar es Salam, ameongoza kikao kati ya Wizara hiyo na Wadau wa Diaspora kutoka nchini Marekani kupitia asasi ya Global Youth Support Center, kujadili nia ya…